Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Ongeza Uwezo wa Kamera za IPhone 7 kwa Kutumia Lensi Hizi

Ongeza uwezo wa kamera za simu yako ya iPhone 7 kwa kutumia lensi hizi za kisasa
Uwezo wa Kamera za Iphone 7 Uwezo wa Kamera za Iphone 7

Kampuni moja ya nchini marekani Kamerar, imefanya ugunduzi wa kuongeza uwezo wa kamera za simu ya iphone 7 pamoja na iphone 7 plus, katika ugunduzi huo kampuni hiyo imefanikiwa kutengeneza kava la kisasa lenye kukupa uwezo wa kuongeza lensi nyuma ya kamera hizo ili kukupa uwezo zaidi wa kutumia kamera za simu hiyo.

Advertisement

Kwa kiasi cha dollar za marekani $45 kampuni hiyo itakupatia vioo viwili vya lensi pamoja na kava ambapo utaweza kutumia lensi hizo kubadilisha camera yako na kuweza kuonyesha kutoka kwenye mtindo wa wide angle kwenda kwenye mtindo wa fisheye. Pia utaweza kubadilisha mtindo wa telephoto na kukupa uwezo zaidi wa kuzoom kutoka kwenye simu yako kwa kutumia lensi hizo.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use