Kama wewe ni mmoja wa watu ambao unahisi unasumbuliwa na matangazo kwenye apps mbalimbali basi makala hii inaweza kusaidia sana kwenye hili. Kupitia hapa utaweza kuifunza hatua kwa hatua jinsi ya kuzuia matangazo kwenye apps zote ndani ya simu yako ya android.
Kitu cha muhimu ni kujua kuwa ni muhimu kusupport kazi za wabunifu wa programu mbalimbali kwa kuruhusu matangazo kuonekana ili kusaidia wabunifu hao kuendelea kutengeneza programu kama hizo, njia hii ni kwa ajili ya kujifunza hivyo isitumiwe vibaya. Basi baada ya kusema hayo twende tukangalie njia hii.
https://www.dailymotion.com/video/x82qlxb
Download App ya DNS66 Hapa kumbuka fuata hatua zote kama ilivyo elekezwa hapo juu. Pia kama unataka kuzima programu hiyo bofya kitufe cha disconnect kilichopo juu kwenye sehemu ya notification kwenye simu yako ya Android.
Kama kuna mahali popote umekwama usiache kutujuza kupitia sehemu ya maoni hapo chini, kwa maujanja zaidi hakikisha una Subscribe kwenye channel yetu ya Tanzania Tech hapa kwaajili ya kujifunza maujanja zaidi.
naomba namba ya simu kwa maelekezo.