Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Nyimbo zote mpya za Dini, Singeli, Bongo Flava na nyingine kwa urahisi
Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya na uko hapa Tanzania basi hii ni makala ya muhimu kwako, kama kwa namna yoyote pia unataka kujua nyimbo mpya zinazotoka kila siku basi endelea kusoma makala hii.

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Advertisement

Kupitia njia hii nitaenda kuonyesha njia moja ambayo na imani kwa namna moja ama nyingine itakusaidia kwenda na wakati na kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila siku.

Huna haja ya kuwa na chanzo kingine chochote kwani kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za dini, nyimbo kutoka Nigeria, Singeli au nyingine zozote basi hii ndio sehemu yake. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye njia hii.

Siku za karibuni nilikua natafuta nyimbo na kwa bahati nilianza kwa kutafuta neno “Nyimbo Mpya”, kupitia Google. Na kwa haraka niliona website ambayo nilikua sijaiona hapo mwanzo na moja kwa moja nilichagua.

Nyimbo Mpya za Wiki

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Kama unavyoweza kuona tovuti hii inakupa uwezo wa kujua nyimbo mpya zinazo trend kwa hapa Tanzania na hivyo kuweza kujua ni nyimbo gani ni nzuri hata kabla ya kusikiliza.

Sehemu hii ni moja kati ya sababu za mimi kuandika makala hii kwani, kupitia sehemu hii sikuangaika hata kutafuta jina la nyimbo niliyokuwa nataka bali nilikuta kwenye list hii moja kwa moja. Yaani chukulia sehemu hii kama sehemu ya Trending kwenye mtandao wa YouTube.

Angalia Nyimbo Mpya za Wiki Hii Hapa

Nyimbo Zinazo Trend Siku ya Leo

Mbali ya hayo sehemu nyingine ambayo imenifanya nipendezwe na tovuti hii ni pamoja na sehemu ya Trending Today ambayo hii uweka list ya nyimbo zinazofanya vizuri kwa kila siku.

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Kupitia sehemu hii utaweza kuona nyimbo mpya pekee ambazo zimetoka ndani ya masaa 24, sehemu hii ni nzuri kama unataka kujua nyimbo mpya zilizotoka kwa siku ya leo na ambazo zinafanya vizuri.

Sehemu nyingine iliyo nivutia ni sehemu ya artist ambayo hii inakupa list ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kila unapo chagua jina la msanii basi unaweza kupakua nyimbo zake zote mpya ambazo zimetoka kuanzia sasa na hata za zamani.

Angalia Hapa Nyimbo Mpya Zinazofanya Vizuri

Wasanii Wanaofanya Vizuri

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Angalia Mfano wa Sehemu Hii Hapa

Njia Bora ya Kusikiliza Nyimbo Mpya

Mangine ni pamoja na smart player yenye uwezo wa kurepeat pamoja na kuplay nyimbo kwenye quality nzuri sana.

Jinsi ya Kupakua Nyimbo Mpya za Bongo Flava za Hivi Sasa

Ukweli ni kwamba kama unataka kupakua nyimbo mpya basi pengine tovuti hii ni moja ya tovuti bora sana za kupakua nyimbo kwa hapa Tanzania. Unaweza kujaribu tovuti hii kisha utuambie kwenye maoni hapo chini umeonaje matumizi yake pamoja na muonekano mzima.

Tembelea NyimboMpya.com Hapa

7 comments
  1. Maoni*salumu komba nimependa sana hii habali lakini file la ku downlod nyimbo mpya linaitwaje nataka ni downlod

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use