Kuna naman nyingi za kupata pesa kwa njia ya mtandao ila njia ya kuweka matangazo kwenye wensite au blog ndio njia bora kabisa, ila je unatengenezaje blog? Kuna njia rahisi sana za kutengeneza blog kupita kwenye website mbalimbali.
Video hiyo hapo juu inaonyesha namna ya kutengeneza blog kupitia website ya blogger ambayo ndio inayotengeneza address za blogspot.com, fuatilia njia hizo rahisi kabisa kama utakua na maswali usisite kuuliza hapo chini.
Nice ila Templent za blogs nisaidieni kunitumia
[email protected]
Asante P the mc, ili kupata theme hizi tafadhali temblea page yetu ya facebook inaitwa Tanzaniatech kisha tuma meseji yako hapo kisha tutakutumia theme hizo. Asante