Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Muonekano Mpya wa Simu Mpya ya Samsung Galaxy Note 8

Huenda huu ndio muonekana wa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8
Samsung G Note 8 Samsung G Note 8

Bado kuna tetesi nyingi sana za simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8, kwa siku ya leo ninakuletea tena tetesi nyingine na muundo wa simu mpya ya samsung galaxy note 8. Muonekano huu unaonekana kuwa ndio ambao unasemekana na watu wengi kuwa ndio utakaoweza kukaribiana na simu yenye halisi.

Muonekano huu umetengenezwa na wataalamu wa mitandao na inasemekana kuwa pengine huu ndio muonekano wa simu hiyo, kuhusu tarehe ya kutoka kwa simu hiyo inasemeka kuwa simu hiyo inategemewa kutoka mwezi wa nane mwaka huu 2017.

Advertisement

Unaweza kuendelea kusoma habari mbalimbali pamoja na tetesi za simu hiyo kupitia hapahapa, hzi ndio habari zote tulizokukusanyia za simu hiyo.

UPDATE 20-06-2017

Samsung leo imetangaza rasmi kuwa sasa simu hii ya Galaxy Note 8 itazinduliwa rasmi mwezi wa nane tarehe 26 huko nchini Marekani. Kaa nasi tutakua tukikuletea yote yatakayojiri siku hiyo na zingine zote kabla ya kuzinduliwa kwa simu hiyo.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use