Kampuni ya Huawei hivi punde inaenda kutangaza ujio wa simu zake mpya za Huawei Mate 30 na Mate 30 Pro, Angalia hapa mubashara uzinduzi huu kutoka huko nchini ujerumani. Simu hizi zinategemewa kuzinduliwa bila programu za Google wala huduma yoyote ile ya Google, angalia hapa ili kuweza kujua simu hii sasa inatumia nini.? Angalia hapa mubashara..!