Mtandao wa Simu wa MTN Ghana Waanza Majaribio ya 4G

Mtandao wa Simu wa MTN Ghana Waanza Majaribio ya 4G Mtandao wa Simu wa MTN Ghana Waanza Majaribio ya 4G

Wakati watanzania wakishangilia neema ya kuwa na mtandao wakwanza wa simu wenye 4G uko ghana mtandao wa simu wa MTN umeanza kufanya majaribio ya kuwezesha huduma hiyo kwa watumiaji wake nchini ghana. Hayo yalisemwa na mtendaji wa kampuni ya MTN Mr Ebenezer Twun Asante alisema hayo kwenye mashindano ya Application yaliyopewa jina la “App Challenge”.

Hivi karibuni kampuni ya MTN ya uko ghana inasemekana kuwekeza kiasi cha dollar za kimarekani million 96 USD  kwaajili ya kuboresha miundo mbinu yake pamoja na kupanua huduma za internet kwa watumiaji wa mtandao huo uko ghana hayo yaliandikwa kupitia blog ya Biztechafrica.

Advertisement

 

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use