Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii

Unaweza kupata link bora ambayo ni rahisi kwa watu mbalimbali kuifahamu
Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii

Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii ni wazi kuwa umeshawahi kusikia neno “link kwenye bio”, sasa zipo njia nyingi za kutumia link kwenye bio na kuweza kutengeneza faida, na kama unataka kujifunza zaidi kuhusu njia hizo basi endelea kutembelea Tanzania tech.

Kwa siku ya leo ningependa ufahamu kuhusu tovuti ya kwanza ya kitanzania ambayo inakuletea uwezo wa kutengeneza link kwenye bio kwa urahisi na bure kabisa.

Advertisement

Unaweza kutengeneza link bora ambayo utaweza kuweka kwenye bio yako ya mitandao mbalimbali ya kijamii.

Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii

Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii

Uzuri wa link hizi ni kuwa zinafanana kabisa na neno link kwenye bio hivyo kwa mfano wewe unaitwa john basi kama ukiwahi unaweza kupata link yako ikiwa kwenye.bio/@john ambayo pia ni sawa na kwenye.bio/@amani.

Kwa sasa unaweza kutembelea link yetu ambayo inapatikana kupitia hapo chini ili kuweza kuona mfano wa link na jinsi inavyo onekana.

kwenye.bio/@tanzaniatech

Kupitia link yako unaweza kufanya mambo mbalimbali kama kuweka namba za mawasiliano au kushare vitu mbalimbali kama link, video za YouTube, Instagram, twitter na mambo mengine mengi.

Kwenye.Bio Link Bora Kwaajili ya Mitandao ya Kijamii

Unaweza kujisali kwa urahisi na kutengeneza link yako moja kwa moja kabla mtu mwingine hajaichukua kupitia hapo chini, kumbuka pia unaweza kufupisha link kwa kutumia njia hii pia na unaweza kutumia link hiyo pia kama link maalum ya kuweka kwenye bio yako ya mitandao mbalimbali ya kijamii.

Sajili Link Yako Hapa

Kama unataka kujua zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku, pia unaweza kutembelea blog ya kwenye bio kuitia hapa au unaweza kupata msaada zaidi kupitia hapa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use