Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Angalia Hapa Mkutano wa Uzinduzi wa Simu Mpya za Google Pixel

Soma hii Kama Unataka Kuangalia Live Uzinduzi wa Simu Mpya za Google Pixel
mkutano-wa-google mkutano-wa-google

Hivi karibuni kampuni ya Google imetangaza rasmi kuzindua simu zake mpya za Google Pixel pamoja na Google Pixel XL. Uzinduzi huo unafanyika leo October 4 huko San Francisco nchini marekani, kwenye mkutano huo Google wanategemea kuzindua bidhaa zingine mbalimbali kama vile Google WiFi, Google 4K ‘Chromecast Ultra pamoja na bidhaa nyingine kutoka kampuni hiyo ya Google.

Kama unataka kuangalia Mkutano huo live basi uko sehemu sahihi kwani Tutakua tukikuletea tukio hilo live moja kwa moja kutoka huko San Francisco nchini marekani.

Advertisement

Ili kujua yote yatakayo tokea kwenye mkutano huo endelea kutembelea blog ya Tanzania tech au unaweza kupata habari zote za teknolojia moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa ku-download App ya Tanzania tech  kwenye simu yako ya Android, au pia unaweza kujiunga nasi kwa barua pepe pamoja na mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Twitter, Instagram pamoja na Yotube  ili kupata habari mbalimbali za teknolojia pamoja na kujifunza mambo ya teknolojia kwa njia ya video.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use