Kama ripoti za awali zilivyo sema leo Mark Zuckerberg kwa mara ya pili leo anahojiwa na wabunge wa ulaya kuhusu usalama wa data za watumiaji wa Facebook wa nchini ulaya. Angalia hapa mubashara wakati Mark Zuckerberg akihojiwa na wabunge hao. Mahojiano haya yanafanyika mubashara akiwemo raisi wa bunge la ulaya.