Kama ulipitwa na mambo yote yaliyo tangazwa kwenye mkutano wa WWDC (2020) basi unaweza kuangalia hapa mkutano mzima ndani ya dakika 11. Kumbuka kama unataka kuangalia mambo yote mapya kwenye mfumo wa iOS 14 unaweza kusoma hapa kujua kuhusu mabadiliko yote.
Basi bila kuendelea kupoteza muda zaidi moja kwa moja twende ukangalie Apple wakizindua mifumo mipya ya iPad OS, Pod OS, MacOS Big Sur pamoja na Watch OS na mengine mengi.
Na hayo ndio mambo yote ya muhimu ambayo yamejiri kwenye mkutano mzima wa WWDC (2020), kama unataka makala hii iwe kwenye mfumo wa maandishi unaweza kutoa maoni yako hapo chini. Kwa habari zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech.