Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone

Unaweza kutengeneza pesa zaidi kama utakuwa una bidii
Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone Jinsi ya Kutengeneza Dollar $5 Kila Siku kwa Kutumia Smartphone

Karibuni kwenye maujanja jumapili ya leo, Leo naenda kushirikiana na nyie njia mpya ambayo itaenda kusaidia kutengeneza dollar $5 ambayo ni sawa na Tsh 11,800 kila siku. Kumbuka kuwa njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100, lakini kama zilivyo kazi zingine hata hii inahitaji bidii kila siku.

Kupitia maujanja haya utaweza kuonda njia zote ambazo mimi nilitumia kupata pesa mtandaoni na kama unavyojua hatuwezi kuonyesha njia yoyote ambayo hatuja jaribu wenyewe na kuhakikisha inafanyakazi kwa asilimia zote. Hivyo basi njia hii ninayo kuonyesha tumejaribu kwa muda mrefu na kuona kuwa inaweza kukusaidia hasa kupata kipato cha kawaida cha kila siku.

Advertisement

Kwa kufuata hatua hizo natumain sasa umeweza kutengeneza angalau dollar 5 au zaidi kwa kutumia njia hii. Tovuti iliyotajwa kwenye video hapo juu inapatikana HAPA. Kwa maujanja zaidi endelea kutembelea Tanzania tech kila siku. Kama unataka kujua jinsi ya kutengeneza akaunti ya paypal unaweza kusoma hapa.

16 comments
  1. Habari Tanzania Tech, kwanza nawashukuru sana kwa namna mnavyotupa maujanja ya kiteknolojia. Tatizo langu, nimejisajiri kwenye website ya “get – paid.com” kwa kufuata maelekezo yenu. Ninapo click kwenye coins naambiwa “connection country error”. Tafadhali naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili. Asante.

  2. Mko vizuri kwa maujanja,swali langu ni kwamba, hakuna njia nyingine ya kutoa pesa zaidi ya PayPal?

  3. Hello naomba nijuwe kila ukipanda level kunakuwa kuna utafauti gani? Kila earning coins inazidi ama inakuw vp…asante

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use