Jinsi ya Kupata Vocha ya Tsh 1000 ya Vodacom au Tigo Bure Kila Siku

Fuata hatua hizi hadi mwisho ili kupata salio la voda au tigo bure
Jinsi ya Kupata Vocha ya Tsh 1000 ya Vodacom au Tigo Bure Kila Siku Jinsi ya Kupata Vocha ya Tsh 1000 ya Vodacom au Tigo Bure Kila Siku

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kupata vocha ya bure basi unasoma makala sahihi, kupitia makala hii nitaenda kukuonyesha njia rahisi sana ambayo unaweza kutumia kupata vocha ya hadi Tsh 1000 bure bila kutumia gharama zaidi ya gharama za Internet ambazo unatumia sasa kusoma makala hii.

Kitu cha msingi unatakiwa kuhakikisha unafuata hatua hizi kwa usahihi na hakikisha unajiunga na huduma hii kikamilifu, basi bila kuendelea kupoteza muda wako zaidi twende tukangalie maujanja haya.

Advertisement

Kama umefuata hatua zote hizo hapo najua umeweza kupata point ambazo zinaweza kukusaidia kupata Vocha au salio la mtandao wa Vodacom au Tigo, kumbuka unachotakiwa kufanya ni kupakua app hiyo kupitia link hapo chini na utapokea zawadi ya point ambazo ndio unaweza kuzitumia kupata Vocha yako ya kwanza. Pia kama unataka point zaidi hakikisha una share na watu wengi zaid.

LINK MAALUM

1. Download App ya Dent Hapa

Kama unataka kujifunza maujanja zaidi ya jinsi ya kupata pesa mtandaoni unaweza kusoma kipengele cha pesa mtandaoni au unaweza kusoma makala ya jinsi ya kupata pesa kupitia app ya WhatsApp Hapa. Kama kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Kwa maujanja zaidi hakikisha una Subscribe kwenye channel ya Tanzania Tech hapa ili uwe wa kwanza kupata maujanja mbalimbali pindi tu tunapoweka video mpya. Kwa habari za teknolojia hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

12 comments
  1. habari yako kaka nahitaji kujua ni njia gani unaweza kutumia kuifanya picha kuwa quality kuna picha nyingi tu nilipijaga kama miaka 7 iliyopita lakini hii leo nikizirudisha kwenye simu hazipo clear…

    1. Hakuna mahali unaweka data zako za siri kama password ya Mpesa wala tigo pesa hivyo huwezi kuibiwa hela inatumwa kama salio na sio kama pesa.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use