Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kuondoa Ads Kwenye Android App Yoyote (2019)

Njia rahisi na ya haraka ya kuondoa matangazo kwenye app za Android
ondoa ads kwenye android app ondoa ads kwenye android app

Kwa namna moja ama nyingine kuna wakati ads au matangazo yaliyopo kwenye apps mbalimbali za android huwa yanasumbua sana. Ndio maana leo nimekuleta njia mpya ambayo unaweza kutumia kuondoa ads au matangazo kwenye app yoyote ya Android.

Njia hii ni kwa ajili ya kuelimisha tu na sio kwa ajili ya kuharibu app ya developer yeyote, hivyo ni muhimu ku-support kazi za developer wa apps mbalimbali ambao huingiza kipato kwa kutumia matangazo yaliyopo kwenye apps hizo. Baada ya kusema hayo basi moja kwa moja twende tuka jifunze maujanja haya.

Advertisement

DOWNLOAD APP YA LUCKY PATCHER INSTALLER HAPA

Kwa kufuata hatua hizo utaweza kuondoa matangazo kwenye apps zote za android ambazo unataka wewe, kumbuka pia unaweza kununua vifurushi vilivyopo kwenye apps mbalimbali za android bila kulipia kitu chochote, njia hii inakuja hivi karibuni kupitia mtandao wa YouTube, hivyo kama bado uja subscribe kwenye channel yetu ya Tanzania Tech hakikisha unafanya hivyo hapa kwani utajifunza maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa urahisi.

Kwa sasa unaweza kuendelea kujifunza maujanja mengine ya jinsi ya kubadilisha muandiko kwenye simu za TECNO, pamoja na maujanja ya jinsi ya kucheza game za Playstation kwenye simu yako ya mkononi ya Android.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use