Kampuni ya Microsoft Yasimamisha Utengenezaji wa Xbox 360

Kampuni ya Microsoft Yasimamisha Utengenezaji wa Xbox 360 Kampuni ya Microsoft Yasimamisha Utengenezaji wa Xbox 360

Kampuni ya Microsoft ya marekani hivi majuzi imetengaza kusimamisha utengenezaji wa Game zake za xbox 360, game hiyo iliyozinduliwa 22 November 2005 imesimamishwa na kutangazwa na kiongozi wa kampuni ya Xbox Phil Spencer ambapo aliandika kwenye blog ya Xbox kuwa kampuni hiyo imesimamisha utengenezaji wa game hizo lakini game hizo hazitakua zikifanya kazi kama kawaida.

Kiongozi huyo aliendelea kusema kuwa server za xbox 360 zitaendela kuwa kwenye mtandao na watumiaji wa game hizo wataendelea kufuraia game hizo kama kawaida lakini hakutakuwa na toleo jipya la game hiyo ya xbox 360 hata hivyo watumiaji wa game za xbox one wataendelea kufurahia kama kawaida CD za michezo yote ya game ya Xbox 360.

Advertisement

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use