Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kutumia IDM Bure Kwa Muda Wowote (2020)

Kama unataka kutumia programu ya IDM Bure basi soma maujanja haya
Jinsi ya Kutumia IDM Bure Kwa Muda Wowote (2020) Jinsi ya Kutumia IDM Bure Kwa Muda Wowote (2020)

Wote tunajua kuwa programu ya IDM au Internet Download Manager ni moja ya programu muhimu sana kwa watumiaji wa kompyuta zenye mfumo wa Windows. Programu hii imekuwa maarufu sana kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi ya kupakua au kudownload kuwa rahisi hasa pale unapokuwa unadownload file lenye size kubwa.

Kutoka na programu hii kuwa msaada mkubwa watu wengi wamekuwa wakihitaji kutumia programu hii na kwa kuliona hilo nimekuja na maujanja ambayo yatakuwezesha kutumia programu ya IDM au Internet Download Manager bure kabisa. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.

Advertisement

Unahitaji mambo kadhaa ili kuweza kuendelea kutumia pragamu hii ya IDM, Kama tayari unayo programu ya IDM na inakuletea matatizo basi ni vyema ukaondoa programu hiyo kwa kutumia programu ya IObit Unistaller. Programu hii itakusaidia kuondoa file zote na itaweza kufanya uweze kuinstall programu ya IDM upya.

Kama unataka programu ya IObit Uninstaller unaweza kupakua HAPA, na kama unataka kupakua programu mpya ya IDM pakua hapa kupitia tovuti ya IDM. Vilevile kama unataka programu ya IDM Patcher unaweza kupakua programu hiyo HAPA.

Natumaini njia hii itakusaidia kutumia programu ya IDM bure na kwa muda wowote utakao kuwa unataka. Kama una maswali ushauri au hata maoni unaweza kuweza kuandika maoni yako hapo chini nasi tutakujibu haraka iwezekanavyo, Mpaka siku nyingine tena Byee!

12 comments
  1. bro naomba usinchoke ukweli unatusaidia sana hua nazipenda makala zako za kisayansi japo unaweka kwa uchache sana
    nime download file ya idm kule internet download manage vip nikihistore haitataka KUJIUPDATE ndg yangu
    mimi daniel james kutoka bukoba

  2. nimefuata maelekezo ila nimeshidwa kupata hiyo idm patcher kama hiyo unayofundishia inakuja kwa namna ambayo nashindwa ku unzip

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use