Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kudownload Album Mpya za Muziki Bure..! Kabisa

Njia hii itakuwezesha kupakua album mpya za muziki bure
Kudownload Album za muziki Kudownload Album za muziki

Karibu kwenye maujanja, leo tutaenda kuangalia njia mpya kabisa ya kuweza kupata Album mpya za muziki bure kabisa bila kulipia chochote. Njia hii inakuitaji uwe na kompyuta haijalishi ni kompyuta ya aina gani ili mradi tu iwe kompyuta iwe Mac au PC zote unaweza kufuata njia hii.

Kwa kuanza basi unahitaji mambo kadhaa, kitu cha kwanza unaitajika kuwa na bando angalau hata MB 200 au hata MB 300, bando hilo litatumika kupakua programu maalum hivyo ni vyema kuhakikisha ilo kwanza kabla ya kuendelea. Kitu kingine kama nilivyo sema awali unaitaji kompyuta haijalishi mfumo gani unatumia ilimradi tu iwe ni kompyuta.

Advertisement

Baada ya kuwa na vitu vyote hivyo basi endelea kwenye hatua inayo fuata, Kwanza kama unatumia Windows au kama unatumia MAC download programu hii HAPA hakikisha una download programu inayo lingana na mfumo wako, Unzip kisha install programu hiyo kwenye kompyuta yako, baada ya hapo fuata maelekezo haya.

https://www.dailymotion.com/video/x6nzlwj

Programu ya Hola unaweza kudownload kupitia Hapa. Basi hayo ndio maujanja ya siku ya leo kama kuna mahali umekwama usisite kutuambia kwenye sehemu ya maoni hapo chini. Kwa maujanja zaidi endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza ku-subscribe kwenye channel yetu ili kiweza kujifunza kwa undani zaidi.

5 comments
  1. . nawapongeza sana kwa kutujuza mambo tusiyoyajua ju ya techinolojia kwani kupitia ninyi naanza kuifunza mengi sana. ila nawaomba mnisaidie kupata program za kuflash sim za aina zot

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use