Ukweli ni kwamba ni ngumu kujua mambo yote yanayohusu teknolojia hata sisi Tanzania Tech bado tunajifunza mambo mapya kila siku na leo kupitia hapa Tanzania Tech ningependa kushare na nyie baadhi ya maujanja ambayo tunashiriki na wasomaji wetu wanaotufuata kwenye mtandao wa instagram. Maujanja haya ni rahisi na ukweli utapata matokeo ukifuta haya yote, basi bila kupoteza muda twende nikujuze maujanja haya.
- Hifadhi Battery Kwenye Baridi Kufanya Zidumu na Chaji
- Njia Rahisi ya Kutumia Simu Yako ya iPhone
- Njia Mpya ya Kutunza Chaji Kwenye Simu Yako
- Ongeza Uwezo wa Wi-Fi Route kwa Kutumia Foili
- Unataka Link ya Kuweka Kwenye Bio ya Instagram
- Usipoteze Tena Vitu Kwenye Simu Yako ya Android
- Usiwe na Simu Yenye Kioo cha (Buibui) Kilicho Pasuka
Na hayo ndio maujanja niliyo kuandalia kwa siku ya leo, natumaini utakuwa umejifunza mambo mawili au matatu yatakayoweza kurahisha maisha yako ya teknolojia kila siku. Kumbuka unaweza kuangalia video za maujanja haya kupitia hapa, pia nakushauri ujiunge nasi kupitia instagram ili kupata kujifunza maujanja mengi kila siku.
hiyo ya kwenye bettery nilishawahi kuona tofauti ya matuzi ya sehem yenye baridi na sehem yenye joto so nilitoka na sedio yangu sehem ya joto na nikaenda sehem yenye baridi haswa yani huko nilienda hata maji sijanywa hadi nikarudi nyumbani nifika kule niliwasha redio yandu bettery ziliisha nguvu kabisa nilirudi nilikotoka kwenye joto zikafanya kazi vizuri ila zilikuwa bettery za tiger.