Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play Hivi Karibuni

Jiandae na simu mpya ya bei nafuu kutoka kampuni ya Inifnix Hivi karibuni
Jiandae na Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play Hivi Karibuni Jiandae na Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play Hivi Karibuni

Kampuni ya simu Infinix Mobile LTD inasema tukae mkao wa kula. Je ni nini tutegemee kutoka Infinix?

Na kama ni simu mpya je ni simu kutoka series gani na kama ni valentine campaign basi watujuze tuanze kujichanga mapema nimewaza tu.

Advertisement

Nikiwa bado najiuliza ni nini hasa Infinix kutuletea mapema mwaka huu? lakini pia tufahamu Infinix imekuwa kampuni imara na ile weza kuthibitisha hilo mwaka jana ambapo COVID-19 iliweza kusimamisha biashara nyingi lakini kwa Infinix bado walisimama imara na kuendelea kutupa simu zilizo bora kama vile Infinix NOTE 8 inayoendelea kutamba sokoni kutoka na ubora wake wa MP16 za camera ya mbele na MP64 za camera ya nyuma.

Jiandae na Simu Mpya ya Infinix Hot 10 Play Hivi Karibuni

Uhimara wa kampuni hii kunazidi kunipa shahuku ya kutaka kujua ni nini kipo njiani, lakini kwa zilizopo chini ya pazia ni kwamba Infinix kuja na moja kabambe na huenda ikawa tishio kwa simu zote zenye kupatatikana sokoni kwa bei isiyozidi TZS. 350,000.

Baadhi ya sifa zikitajwa kupitia tovuti mbalimbali kwa kuusifu zaidi uwezo wa battery yenye mAh 6000 kudumu na chaji wa muda mrefu pamoja na ubora wa resolution yenye kukifanya kioo cha HOT 10 play kioo 6.82 HD kuwa ang’avu wakati wote.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use