Samsung na Infinix naweza sema ni makampuni pendwa kutokana na ubora wa simu zao, Samsung imekuwa ikiaminiwa kwa muda mrefu sasa lakini swala bei limekuwa pasua kichwa na ndipo wengi wetu kutokana na hali zetu tumekimbilia kilichobora kiutendaji kazi na bei hiki ndicho nilichogundua wakati wa pitapita zangu mitandaoni na kukutana na comment kama hii huu ni mtazamo wake si lazima kukubaliana nao ila ningependa kujua kuna ukweli wowote kwa watumiaji wa simu hizi?
“Nakumbuka nilihangaika kutafuta simu inayoendana na bajeti yangu lakini pia itasaidia kupiga picha nzuri kwa ajili ya kukuza soko la bidhaa zangu mtandaoni, niliona mjasiriamali mwenzangu hakufurahishwa na A14 yake ya Samsung, alikuwa akiilalamikia kila mara hasa kwenye kuhifadhi. , kwa hivyo niliamua kwenda kwenye chapa nyingine ambayo nilifikiri ingekuwa bora zaidi, nikatua kwenye Infinix Note 12 kwa gharama nafuu kulinganisha A14, ina kamera Nzuri na nishati ya betri ndefu zaidi nimefurahishwa na uamuzi wangu wa kununua. simu hizi,
Natumia Note 12 kuchukua picha za bidhaa yangu na kushare kwenye Instagram ili kupata wateja wengi zaidi nafasi yake 128GB na G88 processor inanipa imani niko mtandaoni kwa wakati wote tofauti na mwenzangu atalalamika kuhusu speed na ukubwa wa skrini. kutazama picha ni ndogo ukilinganisha na Infinix Note 12 yangu , Natumai kupata toleo jipya la Note Infinix wakati Infinix itakapotangaza toleo jipya, hii ndio brand yangu bora ya wakati wote”,
Soma hapa kujua tofauti ya Infinix Note 12 na Samsung A14
This post is sponsored, and all content is for promotional purposes. Please note that all opinions expressed are from the sponsor.