Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

iXpand Kava Kutoka SanDisk Lenye Uwezo wa Kuongeza GB128 Kwenye iPhone

iphone-ixpand-kava iphone-ixpand-kava

Je unaonaje pale unapopata uwezo wa kulinda simu yako na hapo hapo kuongezea kiasi cha memory..? hii sio ndoto bali watalamu toka kampuni ya sandisk wametengeneza kava hili lilopewa jina la iXpand ambapo kava hili linauwezo wa kuongeza GB 128 pale unapovalisha kwenye simu yako ya iPhone 6 na iPhone 6S.

Advertisement

Hata hivyo kampuni hiyo imetoa makava hayo yenye ukubwa tofauti wa memory kama vile 32GB kwa dollar $59.99, 64GB kwa dollar $99.99 na 128GB kwa dollar $129.99 vilevile makava hayo yametoka kwenye aina ya rangi nne tofauti kama vile blue, grey, red na teal pia kava hili la ixpand kutoka sandisk linakuja na kifaa cha pembeni ambacho kina hifadhi betri ya ziada hivyo kama unataka kufanya simu yako kukaa na chaji zaidi unaweza kununua kifaa hicho cha pembeni.

Kwa sasa kava hilo linapatikana Amazon hivyo kama unataka kulinunua unaweza kubofya Hapa Nunua Kava Hili Hapa

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!

3 comments
  1. that, I’ve never came across a reliable man in this world and neither will I. So I would not be surprised if Wigan were to cause an upset and either draw or even do the unthinkable and win the matn.hHavicg said all of the above, here’s hoping for a Chelsea win.Reply

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use