Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya teknolojia basi najua ulikuwa unajua kuwa jana kampuni ya Apple ilitangaza ujio wa mfumo wake mpya wa iOS 14 kupitia mkutano wa WWDC 2020, mkutano ambao ulifanyika online pekee.
Katika mkutano huo yapo mengi yaliyo tangazwa lakini kwenye makala hii tutaenda kuongelea kuhusu mambo mapya kwenye mfumo wa iOS 14. Najua huna muda mrefu wa kusoma hivyo moja kwa moja twende kwenye mabadiliko hayo.
Na hayo ndio mabadiliko yote yanayokuja kwenye mfumo wa iOS 14, kama unataka kujua zaidi kuhusu mfumo wa macOS na iPad OS unaweza kuendelea kusoma makala inayofuata. Kama kwa namna yoyote unataka maelezo zaidi na sio video unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini nasi tutabadilisha makala hii ya video kuwa maandishi.