Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Instagram Yapata Muonekano Mpya

instagram instagram

Hivi majuzi instagram ilitoa toleo lake jipya ambapo sasa application hiyo imekuja na muonekano mpya kabisa ikiwa imebadilika kuanzia picha ya programu hiyo pamoja na muonekano mzima wa programu hiyo, wataalamu wa mambo ya programu duniani kote wamesema kuwa muonekano huo mpya umefanya instagram kuonekana kama vile ni programu mpya kabisa.

“Ikiwa imebadilika rangi pamoja na picha ya programu hiyo bado iko kama zamani lakini kwa watu wapya ni kama vile ni programu mpya kabisa kutokana na muonekano, kweli inaonekana kama ni programu mpya kabisa tofauti na awali tulivyo zoea”, alisema mtaalamu kutoka katika blog ya techcruch ya nchini marekani.

Advertisement

Kama bado ujaipata instagram yenye muonekano mpya nenda sasa kwenye Play Store na Update utaona instagram mpya yenye muonekano mpya kabisa.

5 comments
  1. Jamani naomba msaada mimi mbona bado sijapata hizi update kila nikiangalia kwenye Play store sioni kitu…nisaidiani plz

    1. Asha Asante kwa kutembelea blog yetu… kuhusu tatizo lako sio kila mu anapata hizi update kwa muda mmoja inategemeana sana na simu yako pamoja na android version uliyo nayo hivyo usiwe na wasiwasi subiria na utapata tu update hizi…

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use