Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa

Infinix Yapasua Anga Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa
Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa

Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana kukonga nyoyo za mashabiki ni hii ya kufungia mwaka wa 2020 pamoja Infinix Fanfest na ya HOT 10 Rap Relay Challenge.

Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa

Advertisement

Tamasha la Infinx Fanfest lilijumisha wasanii na Fans kutoka nchi mbalimbali kwa pamoja walitengeneza video isiyopungua dakika 45 iliyoruka live @InfinixMobile ambapo kila mmoja aliweza kuonyesha uhodari wake ama wao kupitia kuimba, kucheza na jinsi ambavyo mashabiki walivyopata nafasi ya kushuhudia uwezo ya camera NOTE 8 night mode.

Kutoka nchini Tanzania Tamasha hili liliwakilishwa na msanii hemed (PHD) yeye alipata nafasi ya kuwafikia mashabiki wa Infinix kupitia wimbo wake pendwa wa Medicine na Kenya iliwakilishwa na msanii maarufu Octopizo yeye alijumuika na Fans wa Infinix na kuimba nao kwa pamoja.

Infinix Yapasua Anga na Kuwafikia Mashabiki Wake Kimataifa

Kwa ufupi night mode ni teknolijia inayopatikana katika camera ya Infinix NOTE 8 yenye Megapixel 64 na sifa na kubwa ya night mode kupiga picha za usiku zenye uangavu na kuvutia lakini pia ukitembelea app ya Infinix Xclub utakutana na picha zilizopigwa kupitia teknolojia ya night model kupitia challenge ya FanFest ambapo mshindi alizawadiwa Infinix NOTE 8.

Kwa mwaka huu wa 2020 kupitia tamasha la FanFest na HOT 10 Rap Relay ambapo mshindi alizawadiwa Infinix HOT 10 na kuingia katika Guiness world record book. Hii ni ishara Infinix Mobility inatambua na kuthamini mchango wa mashabiki.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use