Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake

Atakayenunua Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli ya kifahari
Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake

Mwaka 2021 unazidi kuwa mwaka mzuri kwa wateja na wadau wote wa simu za Infinix. Hii inajidhihirisha kwa kufuatilia mwenendo wa kampuni ya simu Infinix Mobility kwani mnamo tarehe 6/2/2021 ilizindua promosheni yenye kuashiria upendo baina ya Infinix na wateja wake.

Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni ya Infinix Aisha Karupa, alisema katika msimu huu wa valentine Infinix imekuletea promosheni ya #InfinixHotValentine ambayo inamuwezesha mteja atakayenunua simu ya Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli ya kifahari na mtu ampendaye”.

Advertisement

Infinix HOT 10 play ni simu mpya katika toleo la HOT na kama inavyofahamika toleo la HOT kutoka Infinix ni toleo lenye sifa nyingi ambapo sifa yake kubwa ni uwezo wa simu hiyo kudumu na chaji kwa muda mrefu.

Infinix HOT 10 play ni simu yenye battery ya ujazo wa mAh 6000, Memory iliyojengewa kwa ndani yenye ukubwa wa GB2/32 GB4/64 na camera yenye 8MP za selfie na 13MP nyuma.

Infinix Kusherekea Msimu Huu wa Upendo na Wateja Wake

Infinix HOT 10 play sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania, tembelea sasa katika maduka yao ya simu katika msimu huu wa Valentine ujipatie zawadi papo hapo kama vile vikombe vya Infinix, package ya zawadi za valentine na mlo wa usiku katika hotel ya kifahari kwa mteja atakaenunua HOT 10 play mbili kwa pamoja.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use