Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Ifahamu TV ya Millioni 17 ya LG OLED65G6P

LG TV LG TV

Hivi karibuni kampuni ya LG imefanikiwa kutengeneza televisheni bora ambayo inatumia teknolojia ya kisasa ya OLED ikiwa na picha angavu pamoja na sauti nzuri tv hiyo ambayo imeonyesha kukubaliwa na watu wengi duniani ni TV ambayo ni moja kati ya tv ambazo ni za bei ghali sana kuliko TV nyingine za kampuni hiyo ya LG. Tv hiyo ya LG iliopewa jina la LG Signature OLED65G6P inatumia teknolojia ya UHD au 4K ambayo ni teknolojia ya kisasa ambapo husaidia konyesha picha ambayo ni angavu sana.

Televisheni hii inatumia teknolojia nyingi za kisasa ikiwa ni pamoja na kutumia WebOS ambayo itafanya uone televisheni yako kwa jicho la tatu, TV hii inauzwa kati ya dollar za kimarekani $7,999.99 na $7,999.00 ambapo ni sawa na shilingi za kitanzania milioni 17,430,432.98.

Advertisement

Angalia picha za televisheni hiyo hapo juu bofya mishale ilioko pande za kushoto na kulia kuangalia picha moja moja.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use