Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators

Infinix Zero 30 5G ni simu mahiri iliyotengenezwa kuvutia watumiaji wanaozingatia swala zima la bei
Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators

Infinix Zero 30 5G ni simu mahiri iliyotengenezwa kuvutia watumiaji wanaozingatia swala zima la bei. Zero 30 5G inavipengelea bora vya kuvutia navyo ni video za selfie za 4k 60fps, refreshrate 144Hz,  battery yenye kudumu na chaji pamoja na fast chaji ya Watt 68. Katika uchambuzi wetu tutaanza kwa kuiangalia sifa kuu ya simu hii ambayo ni 4K, 60fps.

Usanidi wa kamera ya Mbele

Advertisement

Infinix Zero 30 5G inajivunia ’50MP AF Vlog Camera,’ kipengele ambacho hakipatikani kwa kawaida, hata katika simu nyingine. kamera ya selfie inaweza kurekodi video za 4K kwa 60fps, jambo lisilo la kawaida katika sehemu hii ya soko, na hii kunaifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa waundaji wa maudhui na wanablogu wanaotafuta kuboresha kazi zao..

Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators

Infinix Zero 30 inatoa Udhibiti wa Picha za Kielektroniki (EIS) kwa kamera zake zote. Utenda kazi wa kamera ya Infinix Zero 30 5G ni ya kusifiwa, huchuja rangi vizuri na kuondoa ukungu wakati wa uchukuaji picha. 

Kamera ya Nyuma

Zero 30 5G ipo na Kamera tatu nyuma, Kamera kuu ni Megapixel 108 apertures f/1.7 na PDAF + OIS pamoja kamera saidizi ya Megapixle 13 yenye Ultra wider sensor na Megapixel 2 yenye tertiary sensor.

Camera za nyuma zinauwezo pia wa kuchukua video za 4k kwa 60fps kama ilivyo kwa camera ya mbele.

Hudumu na Chaji na kujaa Haraka

Ikiwa na betri ya 5,000 mAh na chipset bora ya Dimensity 8020, Infinix Zero 30 inaboresha maisha ya betri.

 Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators

Inafaulu katika nyakati zote iwe katika hali ya uchezaji games za mitandaoni au uangaliaji wa video kwa wastani kwa kutumia refresh rate ya 144Hz inadumu na chaji wa siku nzima ilihali utumiaji wa refreshrate chini ya hiyo kwa wastani inakaa hadi siku mbili.

Kuchaji ni kipengele kikuu, shukrani kwa usaidizi wa teknolojia inayomilikiwa ya 68W ya kuchaji kwa haraka ya Infinix. ikiwa ni pamoja na 5V@2A, [email protected] isiyobadilika, na tofauti [email protected], kifaa kinaweza kuchajiwa kikamilifu kwa muda mfupi sana.

Muundo na Display

Zero 30 5G ina unene wa mm 7.9 tu ni rahisi kukaa mfukoni lakini pia fremu zake za pembezoni ni mahiri si rahisi kuvunjika. Muundo wa juu wa display ni  FHD+ ya inchi 6.7 (pikseli 2,400×1080) onyesho la 3D lililopinda la AMOLED na kiwango cha kuonyesha upya/Refresh rate hadi 144Hz lakini pia inapanel na unaweza fanya machaguo 60Hz, 120Hz au 144Hz ambayo ni smooth zaidi.

Ifahamu Simu Sahihi Kwa Content Creators

AMOLED hufanya kazi nzuri katika kushughulikia weusi na kama unavyoweza kutarajia, paneli mahiri hufanya kazi nzuri katika kuonyesha maudhui ya media titika. Onyesho hutoa mwangaza wa kilele wa niti 950, ambayo huhakikisha utazamaji mzuri hata nje chini ya jua moja kwa moja.

Mfumo wa Uendeshaji

Zero 30 5G inaendeshwa na Android 13 iliyoboreshwa zaidi na kupelekea simu hii kuwa smooth wakati wa uendeshaji simu. NB;

Zero 30 5G inapatikana katika rangi 3 kuu yani Gold, Green na puble, tembelea @infinixmobiletz au wapigie 0656317737 kujua zaidi kuhusu bidhaa hii.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use