Hivi karibuni HTC imetoa simu yake mpya ya HTC 10 ambayo imetangazwa rasmi mda mfupi ulio pita simu hiyo ya HTC itaanza kuwa sokoni hivi karibuni, pia HTC hawakufanya tamasha lolote la kuachia simu hiyo bali wameachia simu hiyo kupitia video fupi ambayo imeonyesha simu hiyo.
Angalia video hiyo ya tukio hilo la uzinduzi wa simu hiyo bomba kwa wapenzi wa HTC.
Nice sanaaa