Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Huu Ndio Muonekano wa Simu Mpya ya Huawei Mate 10 Pro

Picha ya simu mpya ya Huawei Mate 10 pro yavuja kabla ya kutoka kwake
Huawei Mate Pro Huawei Mate Pro

Siku chache zilizopita kampuni maarufu ya nchini China Huawei ilianza kufanya matangazo mbalimbali ya simu zake mpya za Huawei Mate 10, na moja kati ya matangazo hayo ni hilo hapo chini.

Haija ishia hapo, Huawei inategemea kuzindua simu yake hiyo mpya ya Huawei Mate 10 siku ya tarehe 16/10/2017 na tayari sasa tumesha weza kuona muonekano wa simu hiyo ambayo bado haijajulikana kwa undani sifa zake.

Zaidi kutokana na muonekano huo hapo juu simu hiyo inategemewa kuja kwa muonekano wa tofauti kabisa huku ikiwa na kamera mbili kutoka LEICA zenye nguvu zaidi, itabidi tusubiri tarehe 16 mwezi huu ili tuweze kujua zaidi.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Chanzo : Evan Blass @Twitter

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use