Mfumo wa Kusajili Line kwa Alama za Vidole Wazinduliwa Rasmi

Usajili wa line za simu kwa alama za vidole umeanza rasmi leo
mfumo wa usajili line kwa alama za vidole mfumo wa usajili line kwa alama za vidole

Hivi karibuni kampuni za simu zilitangaza kuanza kutoa huduma za kusajili line za simu kwa kutumia alama za vidole, kama maagizo kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA. Sasa hivi leo huduma hizo zimezinduliwa rasmi na mamlaka hiyo.

Kwa mujibu wa tovuti ya millardayo, Mfumo huo umezinduliwa leo March 1, 2018 na utatumika kuhakiki taarifa za wateja wapya wa kampuni zote za simu Tanzania. Hata hivyo Akizungumza katika uzinduzi huo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), Engineer James Mitayakingi alisema hatua hiyo imetokana na changamoto wanazo kumbana nazo katika usimamiaji wa huduma hiyo.

Advertisement

2 comments
    1. Kwa sasa wako kwenye hatua za majaribio, nadhani baada ya kuona mafanikio au changamoto basi nadhani huduma hii itazinduliwa

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use