Kampuni ya Huawei imatangaza kuja na mfumo mpya kabisa kwenye simu zake, mfumo huo unakuja na muonekano mpya wa Icon, sehemu mpya za kuendesha simu (gesture controls) pamoja na mambo mengine mengi.
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia simu za Huawei basi ni vyema kusoma makala hii ili kujua kama simu yako ipo kwenye list hii ya simu zitakazo pokea mfumo huo mpya wa EMUI 9.1. Kumbuka mfumo huu sio toleo jipya la Android lakini kama simu yako ipo kwenye list ya simu hizi basi inawezekana kabisa kupata toleo jipya la Android kwani mfumo huu unakuja na mfumo mpya wa Android 9.0
TABLE OF CONTENTS
Simu Zenye EMUI 9.1
- Huawei Mate 20
- Huawei Mate 20 Pro
- Huawei Mate 20 X
- Huawei Mate 20 RS Porsche Design
Simu Zinazo Jaribiwa EMUI 9.1
- Huawei Mate 10
- Huawei Mate 10 Pro
- Huawei Mate RS Porsche Design
- Huawei Mate 9
- Huawei Mate 9 Pro
- Huawei Mate 9 Porsche Design
- Huawei P20
- Huawei P20 Pro
- Huawei P10
- Huawei P10 Plus
- Huawei Nova 4
- Huawei Nova 3
- Huawei Nova 3i
- Huawei Nova 2S
- Honor Play
- Honor 10
- Honor Play 8A
- Huawei Maimang 7
- Honor View 10
- Honor View 10 Lite
- Honor Note 10
- Honor 9
- Honor V9
- Honor 8X
Simu Zinazo Tarajiwa Kupata EMUI 9.1
- Huawei Nova 4e
- Huawei Nova 3e
- Huawei Enjoy 9 Plus
- Huawei Enjoy 8 Plus
- Huawei Enjoy MAX
- Huawei Enjoy 9S
- Huawei Enjoy 7S
- Huawei Enjoy 9e
- Honor 9 Lite
- Honor 8X Max
- Honor 20i
- Honor 9i
- Honor 7X
- Huawei MediaPad M5 Tablet 10.1
- Huawei MediaPad M5 Tablet 8.0
- Huawei MediaPad M5 Tablet 8.4
- Huawei MediaPad M5 Pro Tablet 10.8
- Huawei MediaPad Tablet 5T 10.1
Updating…
List hii bado inaendelea hivyo hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kwani tutakuwekea simu nyingine ambazo zitatangazwa baadae ambazo zinategemea kupa mfumo huu mpya wa Huawei. Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech.