Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Zifahamu Hizi Hapa Ndizo TV Bora za Kununua 2018 – 2019

Je Unahitaji TV Bora ya Kisasa Soma Hii Upate kujua
TV Bora TV Bora

likija katika swala la kununua TV ni lazima upate uhakika yakua una nunua TV bora na nzuri sawa na thamani ya pesa yako. Lakini unajuaje TV nzuri ya kununua wakati kwa sasa kuna TV nyingi sana kutoka makampuni mbalimbali zenye vioo vinavyo tofautiana na zinazotumia technolojia tofauti. Hili ni swali gumu sana kwani Tecnolojia za Tv na tv zenyewe zinatofautiana sana, hivyo kukufanya mtu uchanganyikiwe pale unapotaka kununua TV.

Lakini kama unataka kujua ni TV ipi ya kununua pale unapotaka kupata TV bora na yenye picha na muonekano mzuri pamoja na sauti bora. Hizi ni TV bora kwa mwaka huu wa 2018 – 2019 bila shaka hapa utapata ulichokua unatafuta.

Advertisement

1. Panasonic TX-65CZ952

Panasonic65CZ952FrontMain-650-80

 

TV hii bei yake ni kubwa kidogo lakini kama unatafuta TV nzuri yenye uwezo wa kupendezesha sebule yako na yenye uwezo mkubwa na picha bora TV hii inafaa sana.

Sifa

  • Screen size: 65-inches
  • Tuner: Freeview HD
  • Resolution: 3840 x 2160
  • Panel technology: OLED
  • Smart TV: Custom Panasonic
  • Curved: Yes
  • Dimensions: 1,448 x 913 x 311 mm

2. Sony KD-75X9405C

Sony75X9405COtherAngle-650-80

TV hii ya Sony ni moja kati ya TV bora sana kutoka katika kampuni ya sony TV hii inasemekana kuwa na uwezo wa Android yani Android TV, Tv hii ni moja kati ya tv bora zilizo wahi kutengenezwa na Sony kutokana na Ubora wa picha na Sauti. Kama wewe ni mpenzi wa Sony na unapenda Muziki na Picha bora hii Tv ni kwaajili yako

Sifa

  • Screen size: 75-inch
  • Tuner: Freeview HD and FreeSat HD
  • Resolution: 3840 x 2160
  • Panel technology: LED
  • Smart TV: Android TV
  • Curved: No
  • Dimensions: 1041 x 1929 x 322mm

3. LG 55EG960V

2-650-80

TV hii ya LG ni moja kati ya tv bora sana zenye uwezo wa OLED tv hii inaonyesha picha angavu na inafaa sana kwa kutizamia filamu zenye uwezo wa 3D, Tv hii ni Smart Tv na nimoja kati ya tv bora za sasa.

Sifa

  • Screen size: 55-inch
  • Tuner: Freeview HD and FreeSat HD
  • Resolution: 3840 x 2160
  • Panel technology: OLED
  • Smart TV: webOS
  • Curved: Yes
  • Dimensions: 760 x 1226 x 213mm

4. Samsung UE48JU7000T

SamsungUE489-650-80

Samsung wamefanikiwa tena kutengeneza Tv ambayo inatumia Technolojia ya UHD. Tv hii imetengenezwa kwaajili ya watu wanaopenda filamu na pia bei ya Tv hii ni rahisi kidogo hivyo kufanya watu kuimudu.

Sifa

  • Screen size: 48-inch
  • Tuner: Freeview HD
  • Resolution: 3840 x 2160
  • Panel technology: LED
  • Smart TV: Tizen
  • Curved: No
  • Dimensions: 683 x 1087 x 278 mm

5. Panasonic TX-40CX680B

1-650-80

TV hii ya Panasonic ni moja kati ya Tv za kisasa zinazo tumia OS ya FireFox. Tv hii ni Smart Tv yenye uwezo mkubwa sana kwa wapendao application kwenye Tv, tv hii ni bora sana na inao uwezo mkubwa sana na kama ungependa kubadilisha Tv yako kuwa kama Computer ya kisasa TV hii ni kwaajili yako.

Sifa

  • Screen size: 40-inch
  • Tuner: Freeview HD
  • Resolution: 3840 x 2160
  • Panel technology: LED
  • Smart TV: Firefox OS
  • Curved: No
  • Dimensions: 560 x 904 x 202 mm

6. Samsung UE32J6300

1-650-80 (1)

TV hii ya Samsung ni Tv ambayo ni nzuri zaidi kama itakua inatumika chumbani au hata sebule ndogo au sebule ya pili katika nyumba yako tv hii ni HD na inauwezo mkubwa wa kuweka application nyingi japo kuwa kuna wakati inakuwa slow kidogo.

Sifa

  • Screen size: 32-inch
  • Tuner: Freeview HD
  • Resolution: 1920 x 1080
  • Panel technology: LED
  • Smart TV: Smart Hub
  • Curved: Yes
  • Dimensions: 730 x 428 x 79mm

Kujua mahali pa kununua Tv hizi kwa Dar es salaam tutaendele ku-update makala hii, kwa hiyo tembelea hapa ilikujua bei pamoja na mahali pa kuzinunua TV hizi.

45 comments
    1. Asante Masonga, Tutakuwa tunafanya hivyo kwenye siku za usoni Asante sana kwa kutembelea blog ya tanzania tech

      1. Jamani tunaomba muwe mnatuwekea hata bei si lazima mkasemase hela tasilimi, mfano, mnaweza kusema bei yake ni kuanzia sh. 400,000/= mpaka 500,000/= ni mfano tu Kama kutaja bei ya moja kwa moja ni ngumu.

  1. Haina maana kutangaza biashara bila kuweka bei haileti mvuto wengi wataishia kuangalia na kaacha tu..

    1. Asante kwa kutembelea tanzania tech privat, sisi hatufanyi promoshen yoyote ya bidhaa hizo bali tunakurahisishia kujua ni Tv ipi iko kwenye ubora na mambo mengine kama hayo. Ila tutajitahidi kuweka bei hivi karibuni hivyo pitia ukurasa huu kila siku kuona bei za TV hizi.

  2. Nafikiri kwenye sifa hapo ndio kuna utata, watu hatuwezi kutofautisha ubora wa skrin moja na nyingine kwa7bu hatujui maana ya baadhi ya sifa zilizo ainishwa kwa mfano diamation, panel technology na nyingine kwahiyo ni bora kutoa ufafanuzu wa hizo sifa ili mtu atumie akili yake mwenyewe kuchagua kile anachokipenda

  3. Thanx Umeeleza Meng Xana,,lkn Ume2xahau 2naoish Kwny Single Room,,namaanisha Nmeona Tv Zote Zina Inches Kubwa Xana Je Inamaana Ndogo Zake Hazpo? Umetaja 48 Inches, 55 Inches, Hadi 65 Inches Hapo Nmejickia Vby Nkajiulza Kachumba Kadogo Niweke 48inches Itkw Vurugu Weka Bei Zake Then U2ambie Kama Na Ndogo Zake Zipo,,,,pa1.

  4. Comment* kamanda uk poa.je inchi 24 hebu tuchambulie tupate elimu.pia nina tv ya rising mbona mtandaon siioni au ni fek

  5. Maoni*we will appreciate zaidi Kama mkiwa mnaweka price zake.Thanks for the information anyway.

  6. OK bidhaaa mmeweka chache sana pia bei muhimu muweke cos wengine kabla hatujanunuà tunapata ufàhamu kwanza kupitià mitandao kama hii….

  7. Hello jina langu ni hamisi Salehe . kabila yangu ni mwarabu kutoka Pemba na Mimi binadamu Kiziwi,,,,,,,,kijana ya mkubwa umri 25. Natakiwa na kununua TV. Ahsante

  8. Naitwa patrick morice nipo Tanzania kagera, > weken bei jaman mahana ata sisi tutafurai kuona tv na bei yake itapendeza zaidi

  9. Maoni*vizursana nimependa hii ,naomba kuuliza ivi ziletivii zenyee kin’gamuz ndanikwandani zinakuaje kuntakua nauwezekano wakuunga kin’gamuzkingine kweli au ndio eeh!

  10. Naitwa jumaatangawiz kutoka mtowambu ,,vizursana nimependa hii ,naomba kuuliza ivi ziletivii zenyee kin’gamuz ndanikwandani zinakuaje kuntakua nauwezekano wakuunga kin’gamuzkingine kweli au ndio eeh!??

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use