Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Hizi Hapa Video Zilizo-angaliwa Sana Youtube Mwaka 2017

Ziangalie hapa hizi hapa ndio video bora youtube kwa mwaka 2017
Hizi Hapa Video Zilizo-angaliwa Sana Youtube Mwaka 2017 Hizi Hapa Video Zilizo-angaliwa Sana Youtube Mwaka 2017

Hivi leo mtandao wa YouTube umetangaza video kumi 10 ambazo zimeangaliwa sana kwa mwaka huu 2017, mwaka jana 2016 tumeona video ya Adele Carpool Karaokee ikiwa namba moja kwa kuwa na idadi ya watu walio angalia zaidi ya 136,821,649.

Wakati tukielekea mwisho wa mwaka 2017, hii hapa ndio list kamili ya video kumi (10) ambazo zimeangaliwa sana kupitia mtandao wa YouTube, usiache kuangalia video namba 2, 3 pamoja na video namba 7.

Advertisement

Kwa mujibu wa Youtube, Hizi ni video 10 bora zilizoangaliwa sana na list hii haihusishi video za muziki.

10. Children interrupt BBC News interview BBC News – Views 25,053,463

9. In a Heartbeat – Animated Short Film – 31,998,001 Views

8. history of the entire world, i guess – 35,099,356 views

7. “INAUGURATION DAY” A Bad Lip Reading of Donald Trump’s Inauguration – 35,067,309 views

6.  Lady Gaga’s FULL Pepsi Zero Sugar Super Bowl LI Halftime Show | NFL – 37,132,413 views

5. Ed Sheeran Carpool Karaoke – 39,884,128 views

4. Darci Lynne: 12-Year-Old Singing Ventriloquist Gets Golden Buzzer – 41,561,859 views

3. Ping Pong Trick Shots 3 | Dude Perfect – 93,492,244 views

2. ED SHEERAN – Shape Of You | Kyle Hanagami Choreography – 119,030,069 views

1. Until We Will Become Dust – Oyster Masked (ตราบธุลีดิน – หน้ากากหอยนางรม) – 182,137,611 views

Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App yetu mpya ya Tanzania Tech kupitia Play Store na vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

2 comments
  1. mbona Despacito hamjaiweka wakagj ndio ina recod ha video zote ambazo zishaweka youtube tangu na tangu 4.8B Views

    1. Hizo ni video za kawaida, despacito iko kwenye list ya nyimbo ambazo zimeangaliwa sana kwa mwaka 2017.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use