Kama wewe ni mpenzi wa Game basi ni vyema kufahamu kuwa tamasha la E3 au Electronic Entertainment Expo 2019, linatarajiwa kuanza rasmi siku ya kesho na kupitia tamasha hilo utaweza kuona kampuni mbalimbali zinazo tengeneza vifaa vya kielektroniki vya kuchezea Game pamoja na Game zenyewe, zikizindua game mpya pamoja na vifaa vipya vya kielektroniki vya kuchezea Game.
Sasa kabla ya tamasha hilo kuanza kampuni zinazo tengeneza game tayari zimesha zindua game mpya mbalimbali ambazo kama wewe ni mpenzi wa game ni vyema kuzifahamu. Game hizi zinakuja kwenye mifumo mbalimbali ya Xbox One, Playstation 4 (PS4) pamoja na PC. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie Game hizi.
TABLE OF CONTENTS
Cyberpunk 2077
Tarehe ya Kutoka : 16 April 2020
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: CD Projekt
Halo Infinite
Tarehe ya Kutoka : 2020
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: 343 Industries
Gear 5
Tarehe ya Kutoka : 10th September 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: The Coalition
Star Wars: Fallen Order
Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Respawn Entertainment
Wasteland 3
Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: inXile Entertainment
Blair Witch
Tarehe ya Kutoka : August 30, 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Bloober team
Elden Ring
Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Hidetaka Miyazaki
FIFA 20
Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: EA Sport
Deathloop
Tarehe ya Kutoka : 2019
Inapatikana Kwenye : PS4 na PC
Publisher: Arkane Studios-developed Bethesda
Borderlands 3
Tarehe ya Kutoka : September 13, 2019
Inapatikana Kwenye : Xbox One, PS4 na PC
Publisher: Gearbox Software, LLC
Na hizo ndio baadhi tu ya game ambazo hadi sasa tayari zimesha tangazwa, kama unataka kujua Game nyingine unaweza kutembelea ukurasa wa Game Hapa.