Rangi hiyo ya Black Pearl itaanza kupatikana kwenye simu za samsung galaxy S7 edge pekee na vile vile simu hizo zitakuwa ni zile zenye ukubwa wa GB 128 tu, kuhusu sifa za simu hiyo simu hiyo itakua na sifa sawa na simu zingine za Samsung Galaxy S7 Edge.