Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Freedom 251 Simu ya Bei Rahisi Kuliko Zote Duniani

Freedom 251 Simu ya Bei Rahisi Kuliko Zote Duniani Freedom 251 Simu ya Bei Rahisi Kuliko Zote Duniani

Hivi karibuni kampuni moja ya India iitwayo “Ringing Bells” ilitengeneza smartphone ya bei rahisi kuliko zote duniani, simu hiyo ina gharama za chini za Rs. 251 kwa india   $3.64 kwa marekani na kwa tanzania shilingi 8000. Simu hiyo yenye uwezo wa Android 5.1 ni ya kwanza duniani kuuzwa kwa bei rahisi.

Hata hivyo watengenezeji wa simu hiyo iliyo pewa jina la Freedom 251 wamesema kwa sasa simu hizo hazita uzwa tena kupitia website yao, hivi karibuni kampuni hiyo ilitangaza kwenye website yao kuanza kupoke order kutoka watu mbalimbali pamoja na makampuni, hadi kufikia jana kampuni hiyo ilitangaza kusitisha kupokea oder hizo kutokana na kushidwa kwa uwezo wa server zao kutokana na oder nyingi ,hata hivyo msemaji wa kampuni hiyo alisema siku ya kwanza kufungua website hiyo walipata order zaidi ya milioni  37 na siku ya pili order milioni 24.7.

Advertisement

Hivi karibuni simu hiyo a Freedom 251 ilikua kwenye kila chombo cha habari uko marekani kutokana na kuwa smartphone ya kwanza ya bei rahisi kuliko zote duniani. Mwenyekiti mtendaji wa kampuni hiyo Ashok Chaddha alisikika akisema “tulikua tunataka kuonyesha bidhaa yetu ya kwanza inaonekanaje kwa watumiaji wetu hapa sio mwisho wa utengenezaji wa bidhaa zetu, hichi ni kipengele cha kwanza tu cha bidhaa zetu za bei nafuu”.

Hata hivyo watu wengi duniani wamekuwa wakioji kuhusu simu hizo na kuwa na wasiwasi kuhusu ubora wake, website moja ya habari za technolojia imeandika kuwa simu hiyo ina menu kama zile za simu ya iPhone na pia jina halisi la simu hiyo lililo someka “Adcom” kuzibwa na gudi maalumu ya kufutia maandishi kwenye karatasi maarufu kama “correction fluid”.

Makampuni mengine makubwa ya simu yame shinikiza serikali ya india kuangalia kampuni hiyo kwani bidhaa zao hazina ubora unaokidhi soko la dunia.

SPECIFICATION ZA SIMU HIYO NI KAMA ZIFUATAVYO

Freedom 251

4 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use