Hivi karibuni katika chuo cha Germany’s University of Passau kumetengenezwa miwani iliyopewa jina la Diet Eyeglasses miwani hii ina uwezo mkubwa wa kusaidia kulinda afya na lishe bora kwa kupima utafunaji wako pale unapokula chakula.
Ikiwa chini ya watafiti kutoka katika chuo hicho miwani hiyo ni sehemu ya project kubwa iliyopewa jina la WISEglass ambayo ndio chanzo cha tafiti hii, hata hivyo katika post moja ya blog ya teknolojia ya Digital Trends iliandika kuwa miwani hiyo inauwezo wa kupima utafunaji wako kwa kutumia electromyography (EMG) electrodes ambazo electrodes hizi zinafanya kazi kwa kupima kiwango cha mipasuko ya chakula katika mdomo wako hii ikiwa inafanyika moja kwa moja kwa kupima mishipa iliko kwenye sehemu maalumu ya kichwa.
Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!
Nice blog nimeipenda sanaa
Nice blog
21 septembre 2009Je souhaitais vous communiquer des informations au sujet de l’expo de Genevieve Gaucler que nous organisons à partir du 1er oc2etrob30;. puis avoir un email pour vous les envoyer ?Merci.Romuald
Nice blog