Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio

Unaweza kuchat pia unaweza kutuma picha bure kabisa
Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio

Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu jamaa na marafiki kuchati bila kuwa na Internet, kumbuka njia hii inafanya kazi pale unapokuwa uko karibu na unaetaka kuchat nae.

Vitu vya msingi unavyotakiwa ni pamoja na uwezo wa kudownload app kupitia Play Store pamoja na simu yoyote ya Android yenye uwezo wa bluetooth. Kumbuka pia ili kusudi uweze kuchat kwa urahisi wewe na unaetaka kuchati nae ni vyema wote mfuate hatua hizi.

Advertisement

Download App Hapa

Kama umefuata hatua hizi kwa usahihi basi najua utakuwa umeweza kuchat bila kutumia internet, kama nilivyo kwambia awali njia hii ni nzuri kama unataka kuchat na mtu ambayo mko kwenye ofisi moja au darasa moja au hata mahali popote ambapo wote mnapatikana kwenye eneo moja.

Kumbuka kila simu inakuja na uwezo tofauti wa bluetooth hivyo simu zingine zinaweza kwenda masafa marefu zaidi na nyingine zikiwa na uwezo mdogo zaidi kwa upande wa umbali.

That’s it guys i hope umejifunza kitu siku ya leo. Kama unataka kujifunza zaidi, unaweza kusoma maujanja zaidi jinsi ya kupata angalau $5 kila siku. Kama unataka kujfunza zaidi tembelea channel yetu ya Tanzania tech hapa.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use