Kama wewe ni mpenzi wa michezo, movie, Tamthilia na makala mbalimbali basi ni wazi kuwa lazima unamiliki kisimbusi cha DSTV, kama bado huna kisimbusi hicho basi pengine njia hii inaweza kukusaidia kuangalia baadhi ya channel zilizopo kwenye Kisimbusi cha DSTV bure kabisa.
Kwa kuanza basi ni vyema kujua kuwa channel za Tanzania na Afrika kama Maisha Magic Bongo na nyingine kama hizo hutaweza kuziangalia kupitia njia hii, lakini kama wewe ni mpenzi wa michezo, filamu na mengine mengi basi utaweza kufurahia njia hii kwa asilimia 100.
Kwa kuanza ni lazima uwe unatumia simu ya Android na kama tayari unatumia simu ya Android, basi moja kwa moja anza kwa kudownload app mwisho wa ukurasa huu
Kumbuka App hii haipatikani kwenye soko la Play Store hivyo ni lazima uipakue kupitia kwenye link inayo patikana mwisho wa ukurasa huu.
Baada ya kudownload na kuinstall App hiyo, sasa ingia kwenye soko la Play Store kisha pakua App ya MX Player kisha install kwenye simu yako vizuri, unaweza kupakua app hiyo pia kupitia link chini.
Baada ya kupakua na kuinstall vizuri App zote mbili, fungua App ya RedBox TV kisha utaona channel nyingi tofauti ambazo unaweza kuangalia kwa kubofya nembo ya Channel unayoipenda, kumbuka channel hizi zinatumia internet kwenye simu yako hivyo ni muhimu kukumbuka kununua bando kabla ya kuanza kuangalia channel hizo.
Natumaini maujanja haya yame kusaidia, kama una swali au kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kwenye maoni hapo chini, vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.
naomba msada kuna kingamuzi unaweza kuangalia Tv kwenye Pc
Ahsante
Maoni*asany
Kwa game moja inaweza ikala kama mb kiasi gan hvi
duh aisee nyie ni noma sana katika technologia nawapigia saloot.
Best blog i see so far
Mko vizuri
Naomben msaada hiv nataka kijua sms zinazoingia kweny simu ya mpenz Wang ni application gan nitumie ili kumpsay yeye
Mko vizuri
Kipind icho app ya dstv ninayo
mbona naona Chanel Za india, usa, Arab, Isioni Zach tanzania
Maoni* naitwa savyo.y.msigwa mtandao unajitaidi sana ila unakataha kwenye youtube kwenye sim za kawahida kwanini msiboreshe hata sisi wenye hali zakawaida tukawa tunafaidi
Asante, Tungependa kujua zaidi..mtandao unakata kivipi..?
ahsante, kwa elimu yako lakini nilijribu kudownload app hizo ila channel za dstv hazimo zipo nyigine wandugu.
supersport3 nazingine mbona sizioni
samahan naomba msaada wenu play store yang: lifutika kwenye cm hvyo nawezaje kuirudisha?
Nimekwama, natumia iphone 7
Mail: [email protected]
Nataka kujiunga kwenye simu maelezo ya password yakoje?
ipo vizur naomba nijibu kwa imail
ni app iv unaweza kutumia kwenye computer kurushia matangazo kwenye cable kama tv chanel
Nilikuwa naomba mnielekeze namna ya kujiunga na dstv kwenye upande wa simu ya mkononi
Asant
Maoni*mbona nikifungua kwenye sehemu iliyo andikwa red box tv ina niletea neno rechapt sielew naomba msaada
Maoni*samahani pia hongera kwa utendaji mzuri was Nazi zenu,..ninatamani kujiunga na apo ya dstv kwenye simu yangu ya mkononi lakini nashindwa….naomba mnisaidie tafadhari
Nataka maelekezo ya kujiunga na DStv kwenye simu yang naangaika kwenye kujiunga kwenye jina na password pananiehinda
kila nkijitahidi kudownload kwenye sehemu ya download hapa huwa inaniletea mambo nsiyo yaelewa
Mkopoa