Kampeni ya #ToneProud ya TECNO inalenga kushughulikia upendeleo wa rangi ya ngozi katika upigaji picha wa simu kwa kuhimiza uwakilishi sahihi na kusherehekea utofauti wa binadamu.
Kwa kutumia hifadhi data ya viraka 268 vya rangi ya ngozi, kampeni hii pia inawashirikisha watu mashuhuri wa kimataifa na inawahimiza watumiaji kugundua na kushiriki msimbo wa rangi yao kupitia teknolojia ya Universal Tone ya TECNO ili kuimarisha umoja na kujivunia utofauti.
Tambua rangi yangozi yako kupitia www.268toneproud.com (Pitia kwenye BIO ya @tecnomobiletanzania ) na kushiriki matokeo kwa kutumia alama za reli #ToneProud, #UniversalTone, na #TECNO