Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000

Hii hapa njia ambayo unaweza kutumia kuanza biashara yako mwenyewe mtandaoni
Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000 Anza Biashara ya Udalali Mtandaoni Kwa Mtaji wa Tsh 70,000

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kuwa na biashara mtandaoni basi hii ni nafasi ya muhimu sana kwako, kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni madalali basi hii ni muhimu zaidi kwako kwani na uhakika kwa asilimia 100 app hii itakuongezea kipato kwa haraka.

Naposema urahisi na haraka hapa nina maana ya siku moja ama mbili na utakuwa uko tayari kuanza biashara yako mtandaoni. Labda nikueleze ni kwanini utakuwa unaweza kuanza biashara hiyo kwa haraka kiasi hicho.

Advertisement

Tofauti na huduma nyingine hapa Tanzania Tech tunakupa biashara ambazo zipo tayari kwa asilimia 100, yani biashara ambayo sisi tutakuletea itakuwa imekamilika kwa asilimia 100 na wewe utakuwa uko tayari kuweka pesa ya mtaji na kuifanya yako kwa asilimia 100.

Sasa kwa leo nimekuleta app ya kwanza kabisa ambayo unaweza kuinunua na kuwa ya kwako kwa asilimia mia moja, app hii ni kwa ajili ya udalali wa nyumba, viwanja pamoja na vitu vingine. App hii itakupa uwezo wa kuanza biashara yako kwa haraka kwani app hii imekamilika kwa asilimia mia moja.

Unachotakiwa kufanya ni kununua domain na hosting na kuanza kufaidika kwa biashara hii ambayo leo tumekuletea. Ukinunua app hii utaweza kupata code nzima za Android pamoja na sehemu ya Admin ambayo ndio hutumika kuonyesha kila kitu watumiaji wako wanachofanya.

Ndani ya app hii mteja ataweza kuchati na mwenye nyumba au dalali pia kuna sehemu ya kupiga simu kwa mwenye nyumba kwa ajili ya kurahisha mazungumzo zaidi. Pia watumiaji wanaweza kujisajili kwa kutumia namba ya simu au kwa kutumia mitandao kama Google pamoja na Facebook. Unaweza kuona app hiyo jinsi inavyofanya kazi hapo chini.

Unaweza kununua app hii na kuifanya yako kwa bei ya Tsh 70,000 na tunaweza kukusaidia jinsi ya kuweza kusetup kwenye akaunti yako ya Google pamoja na matangazo yako mwenyewe. Kama unataka app hii unaweza kuwasilina nasi kupitia HAPA au kwa kutumia namba zetu za simu 0713711233. Kama huna akaunti ya Play Store pia tunatoa huduma ya kuweka app Play Store kwa bei nafuu sana hivyo unaweza kuwasilina nasi kwa hilo.

Kama unataka kuangalia jinsi app hii inavyofanya kazi unaweza kudownload app hii kupitia Play Store kwa kutumia link hapo chini.

Dalali Wako
Price: Free

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use