Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android basi ni lazima unajua kuwa sio kila App iliyopo Play Store inaweza kupakuliwa hapa Tanzania, zipo Apps nyingi ambazo hapa Tanzania hatuwezi kupakua na hii ni kwa sababishwa wabunifu wa programu hizo hawana soko kwenye nchi husika.
Kupitia makala hii ya leo nitaenda kuonyesha njia ambayo unaweza kuitumia ili kuweza kupata uwezo wa kudownload apps hizo na kuzitumia kwa urahisi kama vile uko kwenye nchi husika. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.
Bofya hapo chini kuangalia Video hii kupitia YouTube Pia utapata link zote kupitia sehemu ya Descrption.
Zifuatazo ni baadhi ya apps ambazo zimetajwa kwenye video hapo juu, unaweza kudownload app hizi kwa kubofya app husika hapo chini.
1. Download App ya VPN Master HAPA
2. Download App ya Fake GPS HAPA
Na hiyo ndio njia ambayo unaweza kuitumia kupata apps mbalimbali ambazo hazipatikani kwa Tanzania, unaweza kujifunza maujanja zaidi kwa ku-subscribe kwenye channel yetu hapa. Pia usisahau kuendelea kutembelea Tanzania Tech kwa habari za teknolojia kila siku.
mmngetusaidia namna gan ya kutumia app kama vile deezer bila kulipia if possible