Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za iPhone 16 Ndani ya DK 10

video hapo chini ambayo itakusaidia kuweza kujua yote yaliyojiri hapo jana ndani ya dakika 16.
Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za iPhone 16 Ndani ya DK 10 Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za iPhone 16 Ndani ya DK 10

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao jana walipitwa na uzinduzi wa bidhaa mpya za Apple ikiwa pamoja na iPhone 16 nime kuwekea video hapo chini ambayo itakusaidia kuweza kujua yote yaliyojiri hapo jana ndani ya dakika 16.

Advertisement

Kama unataka kujua kwa undani kuhusu bidhaa zate za Apple zilizo tambulishwa hapo jana basi unaweza kusubiri makala yetu ambayo itakueleza yote ambayo unatakiwa kujua kuhusu simu hizi mpya na bidhaa nyingine za Apple. See you there!

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use