Ule muda wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S9 ndio umefika, Jumuika nasi tukikuletea matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa simu hiyo ambayo yanafanyika kutoka nchini Barcelona kwenye mkutano wa MWC 2018 au Mobile World Congress. Angalia Tamasha la uzinduzi kwa kubofya hapo chini.