Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Airtel ya Nigeria Yaanzisha Huduma ya Smart Speedoo

Airtel ya Nigeria Yaanzisha Huduma ya Smart Speedoo Airtel ya Nigeria Yaanzisha Huduma ya Smart Speedoo

Kampuni maarufu ya Airtel ya nigeria imetangaza kuanzisha huduma yake mpya ya “Smart Speedoo” ambapo mteja atafurahia internet ya bure kadri anavyotumia hayo yalisemwa na mwenyekiti kiongozi wa data pamoja na huduma za internet Airtel, Mr Nitin Anand akielezea jinsi huduma hiyo inavyotumika mwenyekiti huyo alisema ” pale mteja anapotumia MB 10 atapewa MB 10 za bure ikiwa pamoja na internet kupungua speed kidogo na pale mteje anapotumia MB 100 hivyo hivyo hupewa MB 100 za bure”

Huduma hii ilizinduliwa kwenye mkutano uliofanyika uko Nigeria kati ya waandishi wa habari wa nigeria na kampuni hiyo maarufu ya Airtel ya Nigeria. Soma zaidi kuhusu habari hizi kwenye tovuti ya [button type=”default” text=”Airtel Nigeria” url=”http://www.africa.airtel.com/wps/wcm/connect/africarevamp/nigeria/home/personal/internet/tariffplans/smartspeedoo-dataplans” open_new_tab=”true”].

Advertisement

Kwa tanzania bado tunasubiri huduma hii labda inaweza kuja ila kwa wale wenye safari za kwenda Nigeria hivi karibuni habari ndo hiyo! jiunge na huduma hiyo ukiwa Nigeria kwa kubofya *141# kwenye simu yako au soma tovuti hiyo hapo juu kwa habari zaidi na kujua jinsi ya kutumia huduma hiyo.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use