Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kuzuia SMS Sumbufu Kwenye Simu Yako

Utaweza kuzuia SMS Notification zinazo sumbua kila mara kwenye simu yako
Jinsi ya Kuzuia SMS Sumbufu Kwenye Simu Yako Jinsi ya Kuzuia SMS Sumbufu Kwenye Simu Yako
©phonandroid.com

Ni wazi kuwa wote tuna angalia Notification kuliko sehemu yoyote kwenye simu zetu, lakini ni wazi kuwa sehemu hii pia ni sehemu sumbufu kuliko sehemu nyingine kwenye simu zetu.

Kuliona hili leo nimekuletea njia rahisi ambayo itakusaidia kuweza kuzuia Notification au taarifa Sumbufu kwenye simu yako ya Android. Njia hii ni rahisi na haitumii muda mrefu lakini ni vizuri kuwa makini ili kujua jinsi ya kutumia au kufanya setup kupitia njia hii.

Advertisement

Zuia Notification Sumbufu

Kwa kuanza moja kwa moja hakikisha unatumia simu ya Android, kisha moja kwa moja bofya link hapo chini na download app hapo na install kwenye simu yako.

Download App Hapa

Baada ya ku-download moja kwa moja fungua app hiyo na anza moja kwa moja kufuata maelekezo yafuatayo. Hakikisha una angalia video hii hadi mwisho kujua hatua zote hadi mwisho.

Hadi hapo natumaini umeweza kuzuia Notification ambazo zinasumbua kwenye simu yako mara kwa mara, njia hii ni bora sana na ina zuia wewe kuimbilia kufungua meseji ambayo pengine ni meseji ya promotion. Sasa huna haja ya kufanya hivyo.

Kama unata kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kuzuia meseji za promosheni kwenye simu yako ya Android moja kwa moja kupitia simu yako ya Android.

Kama unataka kuwa wakwanza kupata maujanja mbalimbali hakikisha una subscriber kwenye channel yetu ya Tanzania Tech hapa nakuahidi hutojutia hata kidogo, jiunge nasi leo upate kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use