Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Fahamu Anaepiga Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)

Utaweza kujua mambo mengi kuhusu akupigiae hatakama una namba yake
Fahamu Anaepiga Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro) Fahamu Anaepiga Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)

Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa programu ya Truecaller basi habari njema kwako kwani kupitia makala hii nitakuonyesha jinsi ya kupata toleo la app ya Truecaller Pro bila kulipia kitu chochote.

Pengine unajiuliza kwanini imebidi mpaka kuandikia makala yake..?, Ni wazi kuwa Truecaller ni moja kati ya programu bora sana ambazo zinaweza kukusaidia kujua mambo mengi sana kuhusu watu wanaokupigia simu na kutuma ujumbe kwenye simu yako. App hii inatumiwa na mamilioni ya watu duniani kote na hadi sasa programu hii ina download zaidi ya milioni 14+.

Advertisement

Fahamu Anaepiga Simu na Kutuma SMS (Truecaller Pro)

Mbali ya hayo programu hii inakuja na sifa ambazo watu wengi sana hawawezi kuishi bila kutumia hasa pale unapoanza kutumia programu hii.

Programu hii ya Truecaller Pro, inakuja na sifa zaidi pamoja na uwezo wa kufanya mambo mengi zaidi kama haya yafuatayo.

  • Ongea bure na marafiki na familia yako kwenye programu hii.
  • Tambua kiotomatiki kila SMS isiyojulikana.
  • Zuia SMS za matangazo kama vile tatu mzuka, na meseji za promotion kama hizo.
  • Kitambulisho bora cha Mpigaji simu kitatambua mtu yeyote anayekupigia simu.
  • Angalia majina ya nambari zisizojulikana katika historia ya simu.
  • Kurekodi simu – Rekodi simu muhimu na hifadhi kwenye simu yako.
  • Hifadhi historia ya simu, anwani, SMS kwenye Hifadhi ya Google (Google Drive).
  • App hii inaweza kufanyakazi kwenye simu yoyote yenye laini mbili za simu
  • App hii ya Truecaller Pro haina matangazo.
  • Na mambo mengine mengi..

Sasa baada ya kusema yote hayo moja kwa moja sasa unaweza kupakua toleo la Truecaller Pro kwenye simu yako ya Android kwa kubofya hapo chini.

Pakua Truecaller Pro

Baada ya kupakua app hii moja kwa moja fungua app hii na kisha ruhusu ku-install APK kwenye simu yako kisha install app hii na moja kwa moja uko tayari kuanza kujua nani anaekupigia simu hata kama huna namba yake kwenye simu yako.

Kama unataka kupakua programu zaidi, soma hapa kujua app ambayo itakusaidia kuangalia movie za Netflix bure kabisa bila kuwa na akaunti na bila kulipia.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use