Jinsi ya Kuedit Video Kwenye Simu Kama Kwenye Kompyuta

Njia bora ya kuedit video kwenye simu kwa urahisi na haraka
Jinsi ya Kuedit Video Kwenye Simu Kama Kwenye Kompyuta Jinsi ya Kuedit Video Kwenye Simu Kama Kwenye Kompyuta

Ni wazi kuwa kuna programu nyingi sana za kuweza kukusaidia kutengeneza video bora kwenye kompyuta, lakini zipo apps chache sana ambazo zinaweza kusaidia kuweza kuedit video kwa namna bora kiasi kwamba usione tofauti ya kuedit video kwenye simu na kwenye kompyuta.

Kuliona hilo leo nimekuletea njia bora ambayo itaweza kukusaidia kuedit video kupitia simu kiasi kwamba unaweza kuhisi unatumia programu maarufu kama Adobe Premier, Final Cut Pro na programu nyingine kama hizi.

Advertisement

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende kwenye hatua hizi ambazo ni chache na rahisi za jinsi ya kuediti video kwenye simu kama ambavyo una edit kwenye kompyuta.

Kwa kuanza kama kawaidia unatakiwa kudownload app kupitia link hapo chini, kama unajua jinsi ya kutumia app hiyo basi ni wazi kuwa makala hii inaweza kuishia hapa kwako. Lakini kama hujuia kutumia app hiyo moja kwa moja endelea kwenye hatua hapo chini mara baada ya download app hiyo.

Download App Hapa

Kama unavyoweza kuona kwenye video hapo juu, utaweza kufanya mambo mengi sana ikiwa pamoja na kutoa video ikiwa kwenye 4K, pamoja na kuweka effect mbalimbali kwenye video zako ambavyo huwezi kuweka kwenye programu nyingine za Android.

Kama wewe unatumia tablet basi programu hii huwenda ikawa bora zaidi kwani itakusaidia kuedit kwa urahisi na haraka.

Ukweli kabisa binafsi nimependa sana app hii na nimeona ni shiriki nanyi ili muweze pia kutumia na tumaini utaipenda kwa asilimia 100, niambie maoni hapo chini kama umependa programu hii au kama imeweza kukusaidia kwa namna yoyote.

Kama unataka programu nyingine ya kuedt kupitia simu unaweza kusoma hapa ili kujua jinsi ya kupata programu ya Kine Master Pro Hapa. Kwa maujanja zaidi endelea kutembelea Tanzania tech.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use