Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Zuia meseji sumbufu za promosheni kupitia simu yako ya Android
Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea meseji nyingi kwa siku na mbaya zaidi hakuna njia yoyote ya kuweza kujitoa kwenye huduma hizi.

Kupitia maujanja siku ya leo nitakuonyesha njia bora ya kuzuia meseji hizi zisiweze kuingia kwenye simu yako na kukusumbua mara kwa mara.

Advertisement

Kumbuka njia hii ni bora sana na inaweza kusaidia hata kuzuia meseji zile za ile pesa tuma kwenye namba hii, pamoja na meseji kutoka kwa mtu yoyote. Basi bila kuendelea kukuchosha na maneno mengi hebu twende tukajifunze njia hii.

Mpaka hapo natumaini umeweza kuzuia meseji za promosheni zinazo tumwa kwenye simu yako, unaweza kupata apps zilizotajwa kwenye video hapo juu kwa kudownload kupitia hapo chini.

Download App Hapa

Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya Tanzania Tech kila siku, pia kwaajii ya kujifunza zaidi unaweza ku-subscribe kwenye channel yetu hapa. Kama unataka kujifunza maujanja zaidi unaweza kusoma hapa kujua njia ya kuzia matangazo kwenye Apps zote ndani ya simu yako ya Android.

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use