Kama ulikua unataka kujua sifa za samsung galaxy S8 basi usijali kwani zifuatazo ndio sifa kamili za simu hiyo, ambayo imezinduliwa rasmi hapo jana tarehe 29. Kama ulipitwa na tamasha zima la uzinduizi wa simu hii ya Galaxy S8 unaweza kuangalia tukio lote kwa kubofya hapa.
Sifa za Samsung Galaxy S8
- Ukubwa: 148.9 x 68.1 x 8mm
- Uzito: 152g
- Ukubwa wa Kioo inch 5.8 chenye teknolojia ya Infinity Super AMOLED curved display with 2960 x 1440 resolution (571 PPI)
- Processor ya S8 ni Qualcomm Snapdragon 835 processor or Exynos 8895 8895 processor, depending on market
- RAM ni GB 4, GB6 kwa simu zinazouzwa China
- Ukubwa wa Ndani ni GB 64 of UFS 2.1 storage, 128GB of UFS 2.1 storage in China yenye uwezo wa memory kadi mpaka GB256
- Kamera ya nyuma ni megapixel 12 yenye teknolojia za F/1.7 autofocus pamoja na optical image stabilization, Quick Launch uwezo wa kutumia Bixby
- Kamera ya mbele ni megapixel 8 yenye teknolojia za F/1.7 autofocus, Quick Launch, pamoja na uwezo wa kutumia Bixby
- Kufungua simu yako kwa macho (Iris scanner)
- Kufungua simu yako kwa kidole (Fingerprint sensor)
- Kujua kasi ya mapigo moyo wako (Heart rate sensor)
- Uwezo wa kuzuia kuingia maji na vumbi (IP68 water and dust proof certification)
- Teknolojia mpya ya Bluetooth toleo la 5 (Bluetooth 5.0)
- Uwezo wa Wireless yenye kasi ya Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac huku ikiwa na teknolojia ya dual band support
- Uwezo wa Kujua Mahali kwa Ramani (GPS, Glonass)
- Sehemu ya Kuchomeka USB ya USB Type-C
- Sehemu ya Kuchomeka pini ya headphone (3.5mm headphone jack)
- Battery yenye ukubwa wa 3,000 mAh ikiwa na uwezo wa kujaa haraka (fast-charging), kuchaji kwa bila kutumia waya (wireless charging), pamoja na battery saving modes
- Mfumo wa Uendeshaji wa Android 7.0 Nougat huku ikiwa imepambwa na Samsung UX
- Bei ya Galaxy S8 Tsh 1,700,000 (Bei Inategemeana na Viwango vya Kubadilisha Fedha)
Sifa za Samsung Galaxy S8+
- Ukubwa: 159.5 x 73.1 x 8.1mm
- Uzito: 173g
- Ukubwa wa Kioo inch 6.2 chenye teknolojia ya Infinity Super AMOLED curved display with 2960 x 1440 resolution (529 PPI)
- Processor ya S8+ ni Qualcomm Snapdragon 835 processor or Exynos 8895 8895 processor, depending on market
- RAM ni GB4, na GB6 kwa simu zinzouzwa China
- Ukubwa wa Ndani GB64 of UFS 2.1 storage, 128GB ofUFS 2.1 storage in China
yenye uwezo wa memory kadi mpaka 256GB - Kamera ya nyuma ni megapixel 12 yenye teknolojia za F/1.7 autofocus na optical image stabilization, Quick Launch pamoja na Bixby support
- Kamera ya mbele megapixel 8 yenye teknolojia za F/1.7 autofocus, Quick Launch pamoja na Bixby support
- Kufungua simu yako kwa macho (Iris scanner)
- Kufungua simu yako kwa kidole (Fingerprint sensor)
- Kujua kasi ya mapigo moyo wako (Heart rate sensor)
- Uwezo wa kuzuia kuingia maji na vumbi (IP68 water and dust proof certification)
- Teknolojia mpya ya Bluetooth toleo la 5 (Bluetooth 5.0)
- Uwezo wa Wireless yenye kasi ya Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac huku ikiwa na teknolojia ya dual band support
- Uwezo wa Kujua Mahali kwa Ramani (GPS, Glonass)
- Sehemu ya Kuchomeka USB ya USB Type-C
- Sehemu ya Kuchomeka pini ya headphone (3.5mm headphone jack)
- Battery yenye ukubwa wa 3,500 mAh ikiwa na uwezo wa kujaa haraka (fast-charging), kuchaji bila kutumia waya (wireless charging), pamoja na battery saving modes
- Mfumo wa Uendeshaji wa Android 7.0 Nougat huku ikiwa imepambwa na Samsung UX
- Bei ya Galaxy S8+ Tsh 2,000,000 (Bei inategemeana na Viwango vya Kubadilisha Fedha)
Basi hizo ndio sifa za Samsung Galaxy S8 ambayo imetoka rasmi mwezi huu tarehe 29, simu hii inategemewa kuingia sokoni kuanzia mwezi wa Nne (April) tarehe 28 kama ungependa kuagiza simu hiyo basi unatakiwa kuanza kutoa oda (Order) yako kuanzia mwezi ujao tarehe 20 Mwezi wa Nne (April) mwaka 2017.
Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.
Nice Asanteni sana Tanzania Tech nilikua natafuta sifa za simu hii, keep up the Good Work.
Nice to know